SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA

Klabu ya Soka ya Simba ya Tanzania imefuzu kwenda hatua ya robo fainali baada ya kuirarua AS Vita bao 4-1 katika Uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Simba inakusanya jumla ya alama 13 mpaka sasa na itaongoza kundi A bila kujali matokeo ya Mechi za mwisho